GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ujumbe wangu muhimu kwa hilo Jeshi ( nimelisahau ) kwa sasa ni kwamba liachane na Kujimwambafai kwa kufanya Mazoezi ya Ardhi na Anga Ili Kuitisha Rwanda ya Shujaa Rais Paul Kagame.
Na pia niwaombe Wakufunzi wa Makomandoo wa hilo Jeshi ( nililolisahau kwa sasa ) kuwa liachane na Utoto wa kila Siku za Sherehe zao za Kitaifa kutuonyesha na Kututambia wanavyoweza Kukunja Nondo, Kuvunjiana Mbao Migongoni mwao na Kupigana Kung Fu bali watumie muda mwingi kuwapa Utaalam wa Kukabiliana na Majanga makubwa yanayoathiri moja kwa moja Wananchi wao.
Kama ambavyo Msemaji wa Yanga SC Ally Kamwe alishauriwa akajifunze mengi ( hasa Kucheza Mechi za Kimataifa na akakataa ila Aibu kaipata na ataipata zaidi tarehe 9 Novemba, 2022 huko nchini Tunisia ) ndiyo hivyo hivyo nami GENTAMYCINE naliomba hilo Jeshi la hiyo nchi kuwa isione Aibu kwenda nchini Rwanda katika Jeshi la Rwanda ili wakajifunze mengi ya Kiuweled na Kiutendaji mpaka kuwa na Akili Kubwa ( ambazo bahati mbaya sana wengi Wao hawana ) ili katika Majanga mengine yatakayowakumba waweze Kukabiliana nayo bila kwenda eneo la Tukio na Kubung'aa bung'aa tu huku wakiwaza Mishahara, Resheni na Pesa yao ya Vinjywaji itatoka lini ili wawahi katika Mabaa Kunywa na Kulewa Chakari na Maendeleo yao ( wengi Wao ) yakiwa ni Sifuri.
Majeshi pekee ambayo kidogo yanaweza Kupambana Kimedani na Jeshi la Rwanda ni la Angola na Uganda pekee ila yaliyobakia hayataishia tu Kupigwa na Rwanda bali hata nchi zao zote zitakuwa part and parcel ya nchi ya Rwanda.
I hope Message sent and delivered!!!