Kama Jeshi la nchi Moja ni Goi Goi katika Kukabiliana na Majanga je, litaweza Kupambana na Jeshi lenye Uweledi na Uzalendo la Rwanda?

jidanganye ivoivo!!!...vita si lelemma mazee!!!!'''''''acha kubishania vita kama mpira wa miguu wewe!! iddi amin aalijidanganya ivoivo!!! okay kwa taarifa yako izo nchi za kidikteta uganda na rwanda hazijajengwa kitaasisi tofauti na tz,,,,,siku kagame au museveni akifa kama ilvyotokea kwa tz,,,haki ya MUNGU ndo mtajua majeshi yenu ni majini!!!,,,yatabadilika na itatokea vita kubwa ya ndani ya kugombea madaraka...hiyo uganda mzee mseven akili yake ni kumwachia madaraka mwanae mlevi na waganda kwa wingi wao hawapendi ingawa wanaogopa kusema,,,,na huyo mwenzake wa rwanda mwembamba kama toothpeak,,,kuna wakimbizi kibao wenye hasira wamekimbia nchi kwakuchoka mkono wa chuma!!!(wana hasira hao}...siku akidondoka rwanda itarudi kwenye umwagaji mkuu wa damu kuliko ilotokea mwanzo...manake jamaa yeye ndo kila ki2................................."OLE WENU siku hiyo@wewe mwenye pua ndefu kama kalamu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…