kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,846
- 20,319
Kama jeshi watafanya usafiri tarehe 24 basi siku kabla ya maandamano tarehe zibadilishwe
Dawa ya hawa wanasiasa kama chalamila ni kuwapeleka mperampera tu, kama kaamuru jeshi lifanye usafi tarehe 24 basi chadema watulie wakijiandaa na maandamano halaf siku zikianza kukaribia waskipe hiyo tarehe watangaze hata tarehe 26 au 27 tuone kama jeshi litaamriwa tena lifanye usafi au la