Watu wengi tunajaribu kurubuniwa eti kuwa mwamba Ni mbaya ,Ni mtu mbaya ,Mimi ninachowaza Ni kuwa kama kwa namna yoyote alikuwa na ubaya wowote Ni chama kilichomsimamisha kimesababisha hayo,hakina mfumo madhubuti badala yake wapo radhi kufanya lolote mradi malengo yenu yatimie,nafahamu kilichosababisha akawa kwenye hiyo position ile Ni kigezo Cha kabila lake tuu ,hakukuwa na njia nyingine mlikuwa mmekaliwa vibaya 2015,huyo hangekuwa chaguo lenu kamwe,lakini pia watu mnasahau kuwa samaki mmja akioza chomboni samaki wote watanuka uvundo,wote watakuwa wameoza ,Kama mtamweleza mwamba kwa ubaya huo basi mjua kuwa nyinyi Ni mashetani na hamfai tena .Haiwezekani kwa namna yoyote ile kutengenisha falsafa ya jiwe na aliyemrithi,Hilo Ni Jambo gumu sana Ni kiwango kikubwa sana Cha unafiki na ubinafsi na mtu kuharibu kujiosha ,huku ukimpa lawama marehemu kwa kuwa hajitetei Ila watu wenye ufahamu wanaelewa,njia pekee ya kubali salama Ni kuendelea na legacy yake vingivevyo mtatupa wakati mgumu 2025