hakika kila mtanzania mwenye nia njema na nchi(waziri mkuu,rais...)anatakiwa kumuunga mkono slaa ili aoneshe mfano kwa miaka mitano ijayoKama kweli Kikwete anaipenda Tanzania, anatakiwa amuunge mkono Dr. Slaa.. Hakuna ubishi, Dr. Slaa ni zaidi ukilinganisha na JK.. Sasa kwa sababu kapatikana rais makini, inabidi yeye kama mmoja ya watanzania, amuunge mkono Dr. Slaa ili aingie Ikulu, atakuwa ametimiza wajibu wake wa kulipenda taifa kwa dhati...
Nawasilisha..
Kama kweli Kikwete anaipenda Tanzania, anatakiwa amuunge mkono Dr. Slaa.. Hakuna ubishi, Dr. Slaa ni zaidi ukilinganisha na JK.. Sasa kwa sababu kapatikana rais makini, inabidi yeye kama mmoja ya watanzania, amuunge mkono Dr. Slaa ili aingie Ikulu, atakuwa ametimiza wajibu wake wa kulipenda taifa kwa dhati...
Nawasilisha..
Sheikh tuu ndio anaweza? mawazo mgando kabisa!Padre hawezi kuwa rais wa nchi yetu..not yet! endeleeni kubatiza wengi zaidi ndio mtangazne padre au askofu kuwa rais wenu...
Sheikh tuu ndio anaweza? mawazo mgando kabisa!
Padre hawezi kuwa rais wa nchi yetu..not yet! endeleeni kubatiza wengi zaidi ndio mtangazne padre au askofu kuwa rais wenu...