Kama jpm alipeperusha korona na Hali uko hivi, he asingeipeperusha ingekuwaje!

Ikitotanzila

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2020
Posts
1,409
Reaction score
2,263
Mi nawaza kwa sauti tu. Kama hakubaliki kiasi hili mpaka kwao chato au mwanza tumeona lisu akitikisa huko, je asingekuwa na ajenda ya kupeperusha covid ingekuwaje? Inaonekana watu hawamtaki kabisa ndo Mana ameona atetewe na NEC na polisi ili kuwatisha watu angalau.
Maskini jpm mi nakuonea huruma mwenzio natamani nikupe hata mbunye yangu.
 
Dah

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kwao hawataki hata kumsikia, ndiyo maana Mwenyekiti wa mtaa anaoishi aliku anatoka Chadema (2014-2019), wanamjua tabia yake ni mbaya sana.
 
Sijui kwanini hapeperushi Malaria na Umasikini
 
Kwao hawataki hata kumsikia, ndiyo maana Mwenyekiti wa mtaa anaoishi aliku anatoka Chadema (2014-2019), wanamjua tabia yake ni mbaya sana.
Kwny uchaguzi wa 2015 kule kwao Niliona bango wananchi wamelishikilia limeandikwa 'tulimuomba barabara akatujibu kunyeni barabarani hicho kinyesi kikikauka kitageuka kua lami'.
 
Kwa hiyo wewe ni mama huruma
 
Kumbe wewe ni manzi
 
Tazama hii
Your browser is not able to display this video.
 
Mkuu mwenyezi Mungu ndio anajua ukweli au uongo.
Walio na maono wanachambua na kupambana kwa hoja.Sijui katika mashtaka yenu hukoThe Hague shitaka mmoja ni kutokubalika Chato?
Enzi za lie detector tusingethubutu,hata grand propagandist Joseph Goebells huko ahera anapiga chafya.
 
Mungu ninayemuabudu mimi Hawezi akamrudisha shetani 2020.
Muuaji.
Mtekaji
Muongo.
Dikteta nknk.

Mungu anaipenda sana Tanzania Tuliomba rais Mkali sasa tumeomba Rais mwenye akili timamu, Mwenye hofu ya Mungu, mwenye upendo nk nk.

Kwaheri Jiwe
 
Watu wenye akili wanajua haja ondoa corona, ugonjwa upo ila tu kwabahati nzuri waafrika haiwaathiri sana kama wazungu ni kwa nchi zote za Africa hali ni ileile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…