Serikali yenu haiwezi kuwa wajibisha hao jamaa/wanajeshi coz protocol zinazingatiwa but nashangaa watu mnalalamika kwenye kitu ambacho ni impossible... Hiyo ni operation ndogo tu na haitaisha mpaka watake wenyewe
Usijidanganye eti Serikali itaingilia kati na ukiona wameingilia basi jua Operation imeisha So Serikali itajifanya kuongea ili kujipatia Credit
Poleni sana Raia wa Kawe mpaka Operation ikiisha naamini mtakuwa na cha kujifunza
"usipokitendea kazi ulichojifunza,matokeo yake Ndio hayo, maana wanajifunza na hawatendei kazi walichojifunza. wanakuja kufyeka, na kufagia vyoo Ndio maana wanapiga watu.
Hawana pakudhibitishia mafunzo yao zaidi ya Kupiga watu mitaani"