Kama katika Mazoezi ya Kawaida Ndege za Jeshi zinaanguka hivi Ziwani je, zikiwa Vitani si zitaanguka zote na Tanzania Kushambuliwa vilivyo na Adui?

Waongeze bajeti kwenye wizara ya ulinzi iwe kwa kukopa na kuongeza maden lkn wajaribu kuongeza na kuiboresha bajeti ya jeshi letu jmn tunatia aibu.


Au hii amani fake inatudanganya tujisahau kuboresha hizi changamoto?
Tumeshachelewa japo tunajjfanya ni Wajanja na Military Giants in the Region.
 
Kila kitu wee unakijua
Uko vzr sana.
 
Siku hizi huduma za kunyoa, massage, kuosha miguu huwa tunaenda kupata pale Kambi Kuu ya Jeshi.
Hata ukitaka kuziba pancha, kujaza upepo, kuweka tinted, nyama choma, mama ntilie vyote tunapata pale fremu za Kambi kuu.
Punde tu Kambi kuu itakua kama stand ya Magufuli
 
Nimecheka mpaka basi Mkuu. Alamsiki.
 
Tatizo uelewa wako tu, kama walikuwa mafunzoni ulitegemea iweje? Chuo magereza tu watu wanakufa kwenye kozi, sembuse JWTZ
 
Tatizo uelewa wako tu, kama walikuwa mafunzoni ulitegemea iweje? Chuo magereza tu watu wanakufa kwenye kozi, sembuse JWTZ
Chuo Cha magereza akifa MTU mafunzoni atakua amerogwa.
Kwa mafunzo gani lakini?
Wale wanasomeshwa jinsi ya kumnyima MTU haki za kibinadamu. Wanafundishwa jinsi ya kupika maharagwe yasioiva. Jinsi ya kuhesabu maharagwe kwenye bakuli na mfungwa. Jinsi ya kusonga ugali bila kuuivisha vizuri.
Sasa MTU akifa hapo si atakua karogwa........
 
Boya mmoja tu wewe
Na Mkoa wa Mara ( Nchini )
Hatuna wajinga wajinga kama wewe
Mpenda sifa za kijinga jinga .
Ukijijua tu kabisa kuwa humpendi / hunipendi GENTAMYCINE " hapa JamiiForums na unamchukia hata kutamani Afe na huvutiwi na Taarifa zake pamoja na Uwasilishaji wake wa Kipekee na usioweza Kuigwa na Yeyote yule kutokana na Upumbavu, Wivu na Uwendawazimu wako Uliokutukuka njia rahisi ni Kuachana nae ( nami ) na uendelee Kuwasoma na Kuwafuatilia hao unaowaona ni Bora Kwako na Unawakubali zaidi sawa?

Kitendo cha Kuonyesha Unanichukia na Hunikubali lakini bado tu 24/7 unawashwawashwa Kunifuatilia kama Jibwa Jike lililo katika Heat ( hali ya kutaka Kupandwa na Dume ) unaonyesha kuwa Unanikubali sana na kukubali uwepo wangu Uliotukuka hapa Jamvini.

Nimemaliza.
 
Nimecheka sana [emoji1]

Ova
 
Kaka mengi umegusia ni sahihi, ila kwa kumiliki submarine kwa sasa FUTA kabisa hilo.
 
Watusaidie kumuondoa yule bibi magogoni. Haya ya mandege mabovu yanayo anguka tutanunua mengine tukiokoa raslimali zetu
 
Mkuu pale ni Kambi ya kawaida Kila kitu kilishahamishwa!Za chini kabisa imebaki Hospital tu.Hata Makao makuu kule ngome karibu na ule ukumbi wetu pendwa pamebaki hapana kazi.NB Husiniulize mizigo imeenda wapi.
 
Mkuu pale ni Kambi ya kawaida Kila kitu kilishahamishwa!Za chini kabisa imebaki Hospital tu.Hata Makao makuu kule ngome karibu na ule ukumbi wetu pendwa pamebaki hapana kazi.NB Husiniulize mizigo imeenda wapi.
Una uhakika zimeondolewa zote? Je, ikitokea Kambi ya Lugalo imevamiwa hao Madaktari na Manesi walioko ndiyo watatoka Kupambana huku Wakisaidiana na Wagonjwa au?

Ni kheri ( bora ) ungenyamaza tu Ok?
 
Mkuu pale ni Kambi ya kawaida Kila kitu kilishahamishwa!Za chini kabisa imebaki Hospital tu.Hata Makao makuu kule ngome karibu na ule ukumbi wetu pendwa pamebaki hapana kazi.NB Husiniulize mizigo imeenda wapi.
Sawa, tatizo lile eneo lina historia ya Jeshi letu, lile eneo ni kioo cha kijeshi, lile eneo bado ni Millitary Smart Area.
 
Sawa, tatizo lile eneo lina historia ya Jeshi letu, lile eneo ni kioo cha kijeshi, lile eneo bado ni Millitary Smart Area. Lile eneo lina hostoria
Muulize anajua kwanini Kambi za JWTZ ziko nyingi nchini Tanzania nzima ila ya Lugalo na ile ya Nachingwea ndiyo zinaheshimika na zina Historia ya Kipekee Kimedani?
 
Punguza ujuaji kwenye kila kitu
Sio kila Kitu utakijua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ