Kama katika uongozi wa miaka mitano ya Bunge Magufuli alichoona cha maana kwa Ndugai ni kuundwa Kamati ya Madini tu, basi Ndugai hafai kuwa Spika

Jiwe anapenda watu sampuli ya ndugai,
 
Bunge lote lile ni fake na mzingo mzito sana kwa Taifa hasa wananchi maskini wanaokatwa kodi ili bunge liwepo!

Ona Yusto alichofanya juu ya Rais Samia, tafsiri yake spika hana uelewa wala akili hata hekima hana! Bunge linafahamu mambo ya mikopo maana yake Ndugai anajua vizuri kuhusu mikopo kuliko mtu mwingine ila yeye kaleta ubuyu mkavuuu mtaani teeeh teeeh teeeh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…