Kama kawaida, Jengo lingine la ghorofa laporomoka Kenya

Poleni majirani,angalieni mnakosea wapi,mbona mabalaa yamewaandama sana,na jana nimetoka kuona post ya sexworkers wanataka kufanya yao,whats wrong with you guys...
What's wrong is that u can't mind ua own business. Stop pocking ua noses in others peoples lives instead worry about ua poverty
 
It must hurt them so much that they live in nylon sheet slums and those who live in brick houses live in fear of building collapse 😀 😀 😀
 
Wale wataalamu wa hisabati wanaweza fact out , tukapata ‘Constant’
Tukapredict when is the next collapse [emoji28]
Hawa watu hamna elimu unakuta architecture ame forge cheti engineer nae hivyohivyo kama mtu anaweza kuendesha ndege ya viongozi wa serikali zaidi ya miaka 10 bila kusomea kurusha ndege unafikiri kwenye miradi kama hiyo hali itakuaje sishangai kuona majanga kama haya. Pili najiuliza kenya hamna board ya kuregulate hawa contractors au ni vipi?
 
Unaweza kutengeneza to model to predict when and where the building collapse will happen.
Parameters zipo.
 
Hawa watu hamna elimu unakuta architecture ame forge cheti engineer nae hivyohivyo kama mtu anaweza kuendesha ndege ya viongozi wa serikali zaidi ya miaka 10 bila kusomea kurusha ndege unafikiri kwenye miradi kama hiyo hali itakuaje sishangai kuona majanga kama haya. Pili najiuliza kenya hamna board ya kuregulate hawa contractors au ni vipi?

Nimecheka sana 🤣🤣🤣. Yaani miaka 10 anaendesha ndege bila.
 
Back
Top Bottom