Akili yangu huwa inapingana sana na wachambuzi wengi wa hapa kwetu.Huwa mara nyingi wanatumia hisia zaidi kwa kujifanya wao ni wazoefu na kushindwa kuangalia ukweli wa soka lilivyo.
Jana wengi walimtabiria Man city kushinda kombe la UEFA kisa tu eti Guardiola hawezi kukubali kufungwa mara nyingine tena kwenye kikombe kikubwa.
Jifunzeni na kuujua vizuri mchezo wa soka na si kuishi kwa kukariri na kuuzungumzia kwa mihemko.