Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,277
- 8,860
Hivi kama kesi ya kina Mramba na Mgonja inakaa miaka 8 makabwela waliopo rumande kwa tuhuma watapata lini haki zao?
Kumbuka Mramba kwa nafasi yake na uwezo wake amekuwa nje kwa dhamana muda wote wa kesi
Je kwa wale wasioweza kujidhamini na wamesingiziwa kesi zao?
Kesi ya mramba na Mgonja ilianza kusikilizwa mwaka 2008 kabla JK hajaanza miaka yake mitano ya mwisho.
Tafakari chukua hatua!