Kama kijana jasiri hasa, fanya kuhama CCM

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Za jioni wadau

Utakuta kijana anasimama juu jukwaa la chama cha watz ,chama pendwa cha waliowengi halafu anawaponda wapinzani na kuwatishia.

akienda nyumbani anajisifu kwamba wapinzani kawashambulia na watazidi kumsikia.
haafu anajiita jasiri

mimi naona huo sio ujasiri,i hayo yasemee nje, ukiweza hapo ndio unaweza kujipima ujasiri
Tuipende Tanzania yetu

我们热爱我们的坦桑尼亚,希望它也爱我们。
 
Mod, please nibadilishie heading, sema hapa chama tawala,
 
itakua ni ushirikina kwa kijana kujiondoa kwenye umoja wenye nguvu na kujiunga na utapeli dhaifu wa kichawi uliokosa uelekeo 🐒
 
Post haieleweki...

Ni kwa sababu ya kuzidiwa na "boha "?!![emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…