chaz beezz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 217
- 865
Mambo yasiwe mengi wakuu.
katika kujitafuta nimeona niweke vyeti pembeni niingie rasimi kujifunza fani ninayovutiwa nayo inayohusu mambo ya Gypsum design, wall skimming,perfic finishing and paint.
Maisha kitaa yanakaba ujobless imekua tatizo vijana tujaribu kujifunza fani mbali mbali.
Hivyo naombeni ushauri wakuu ili kuwa vizuri kwenye hii fani kipi bora zaidi, napaswa kusoma veta au nitafute mafundi wenye utaalam wa hii kazi ili nianze tembe nao ili kupata ujuzi na kwabaadae nitapoiva nianze kazi mwenyewe ?