Umenena mwanakwetu Silver; Kikwete ameishiwa pumzi y kuongoza Tz, na sasa anaanza kutumia mbinu za kujihami ambazo hazitamsaidia. Nguvu ya umma inaruhusiwa na katiba na sheria kung'oa utawala dhalimu kama ilivyotokea Tunisia na Misri, na at work kule Libya; na sasa under maandalizi in Tz!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Kufuatia Kauli chafu ya Vitisho kwa Wananchi iliyotelewa na Raisi Jakaya Kikwete ya Kuwadanganya Wananchi kuwa Chadema wanavuruga Amani ya nchi, mimi kama mwana diplomasia Kauli hiyo nimeiona ni ya kijinga na hakuifikiria, na Kama nataiona Kauli hiyo ni a kweli YEYE NI RAISI kwanini asiwachukilie Hatua?
Maana ya kuto wachukulia Hatua ni kwamba wao hawavurugi Amani ya Nchi, kwani wao pia ni wananchi wa Tanzania hii, KIKWETE FUTA KAULI YAKO