Kama Kikwete ni Mtaji: Nani mmiliki Mtaji na mvuna Faida?

Rev. Kishoka

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
4,526
Reaction score
1,540
Makamba katamka Kikwete ni Mtaji wa CCM, ni CCM ipi Makamba anaizungumzia?

Je ni nani mmiliki wa CCM aliyetupa Mtaji Kikwete na ni nani mvuna Faida ya Mtaji Kikwete?

Je ni Mafisadi ambao ndio wametupa Mtaji Kikwete na watavuna Faida yote?

Yetu macho, masikio na pua!

 
Makamba ni mshobokaji...

Anatetea bora katetea, anajua bila huyo kikwete asingefika hapo ndo anamsifia kila kukicha.

Kwa mtaji huu tutafika!?
 
dah ! kumbe kunawamiliki tena hapo kazi ipo
 
kama yeye ni mtaji basi waliomwandalia mazingira ya kushinda uchaguzi kwamaandalizi ya miaka kumi ndio wamiliki wa huo mtaji,na pia watakuwa ndio wavunaji wa faida hii inayopatikana baada ya mtaji wao kuaza kuzaa matunda[faida]
na watu hao watakuwa ni wanamtandao
 
mh. anaropoka sana sasa ngoja aje President mwingine amuulize philipo mang'ula yaliomkuta
 
Rostam Aziz mvunaji kesha waleta waarabu kule Loliondo, EL yeye anakumbatia makombo.
 
Nadhani makamba ndo mtaji wa kusema hovyo hovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…