Kama kisu kinavyonolewa ili kiwe kikali, lazima nasi tuunoe Ubongo kwa vitabu

Joined
Jun 23, 2020
Posts
12
Reaction score
23
Godson kitomary

Pichani ni kitabu cha "COLENEL GADAFFI" Kinachoitwa "THE GREEN BOOK" Na ndani yake kina mambo matatu kama ifuatavyo:

1. Jinsi ya kutatua matatizo yatokanayo na demokrasia
2. Kutatua matatizo ya kiuchumi
3. Misingi ya kijamaa na nadharia ya mataifa yanayoendelea.

Ndicho kitabu alichotumia kuitoa "LIBYA" Kuwa "NCHI" Ya "AHADI" Kama "WAISRAEL" Walivyopewa "ISRAEL" Na walibya kufaidi "MAFUTA" Waliyobarikiwa na "MUNGU" Wakapewa kila kitu na "GADDAFI" Lakini wakamuua kwa jina la "DEMOKRASIA" Na leo hii "LIBYA" imegeuka "JEHANAMU" Halafu "NATO" Waliwachonganisha kwelikweli hawakujiuliza "PUTIN" Wa "RUSSIA" Ana miaka mingapi madarakani.

Embu tuishie hapa ukipata muda kisome na ntakuja kukupa summary yake kwa ufupi

 
mzee tupe PDF ya kitabu hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…