Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Wameshika Calculator wanapiga hisabatiUto huwez waona wakisogea hapa
Orlando pirates akibeba ubingwa wa CAF Champions league atamuaribia simba kila kitu sababu bingwa mtetezi lazima ashiriki club world cupUkitaka kujua nafasi ya Simba ni kubwa sana, Orlando Pirates hata ikichukua ubingwa wa CAF msimu huu haiwezi kuishusha Simba pale ilipo sasa hivi.
Jambo la msingi ni kuanzia msimu ujao Simba kupambania ubingwa wa CAFCL na pia kuhakikisha inaingia top 3 na haishuki. Hapo itakuwa inajihakikishia nafasi ya kucheza CWC ijayo.
Vipi Berkane na Pyramid wakichukua?Ukitaka kujua nafasi ya Simba ni kubwa sana, Orlando Pirates hata ikichukua ubingwa wa CAF msimu huu haiwezi kuishusha Simba pale ilipo sasa hivi.
Berkane akichukua ubingwa anampita Simba hata kama wakikutana wote fainali. Simba anahitaji kufika tu fainali ili asipitwe na Pyramids hata kama Pyramids wakichukua ubingwa.Vipi Berkane na Pyramid wakichukua?
CWC ipo baada ya kila miaka 4. Hapo unaweza kuwa na point kama baada ya hiyo miaka 4 ijayo Simba itakuwa haijachukua CAFCL halafu mwaka wa nne iwe nje ya top 3. Esperance ameenda CWC si kwa kuwa amewahi kuchukua ubingwa miaka hii 4 bali kwa sababu baada ya kupata timu zote zilizochukua ubingwa wa CAFCL miaka hii minne iliyopita, timu zilikuwa hazifiki nne kwa hiyo inabidi waangalie kwenye ranking.Orlando pirates akibeba ubingwa wa CAF Champions league atamuaribia simba kila kitu sababu bingwa mtetezi lazima ashiriki club world cup
Acheni unrealistic demands, CAFCL mlioshindwa kuingia semis mkiwa na simba bora ya wakina Chama, Miqui, Kagere ndio mkaipambanie na hawa wakina Kibu dennis.CWC ipo baada ya kila miaka 4. Hapo unaweza kuwa na point kama baada ya hiyo miaka 4 ijayo Simba itakuwa haijachukua CAFCL halafu mwaka wa nne iwe nje ya top 3. Esperance ameenda CWC si kwa kuwa amewahi kuchukua ubingwa miaka hii 4 bali kwa sababu baada ya kupata timu zote zilizochukua ubingwa wa CAFCL miaka hii minne iliyopita, timu zilikuwa hazifiki nne kwa hiyo inabidi waangalie kwenye ranking.
Kuwa safe zaidi ni kwa Simba kupigania kubeba CAFCL ndani ya misimu hii miwili ijayo.
Hakuna aliyetoa "demands". Nadhani ulikuwa unamaanisha "expectations".Acheni unrealistic demands, CAFCL mlioshindwa kuingia semis mkiwa na simba bora ya wakina Chama, Miqui, Kagere ndio mkaipambanie na hawa wakina Kibu dennis.
Bado timu yenu ina mapungufu mengi sana yanahitajika kufamyiwa kazi ili kuwa katika iyo nafasi unayoiongelea. 97% ya timu zinazoshiriki CAFCC ni za viwango vya kawaida sana ukilinganisha na zile za CAFCC, kwaiyo ilo kombe la CAFCC sio kipimo cha kujiweka kwenye level za wakubwa.Hakuna aliyetoa "demands". Nadhani ulikuwa unamaanisha "expectations".
Anyway, Simba iko short ya wachezaji 2 tu wa viwango vya Mpanzu katika namba 9 na 10 kuwa na uwezo wa kushindana na Club yoyote ile Africa hii bila shida katika mbio za ubingwa.
Pia hata Simba isipochukua ubingwa wa CAFCL, inahitaji kuhakikisha katika misimu mitatu kati ya minne ijayo inafika walau nusu fainali 3 na robo fainali 1 za CAFCL katika misimu hiyo.
Siyo kweli.Bado timu yenu ina mapungufu mengi sana yanahitajika kufamyiwa kazi ili kuwa katika iyo nafasi unayoiongelea. 97% ya timu zinazoshiriki CAFCC ni za viwango vya kawaida sana ukilinganisha na zile za CAFCC, kwaiyo ilo kombe la CAFCC sio kipimo cha kujiweka kwenye level za wakubwa.
Licha ya izo nafasi mbili ulizozitaja vile vile simba inahitaji mabeki wa pembeni, (especialy namba 3), beki mmoja wa kati, holding midfielder, na winga wa kucheza pacha na uyo Mpanzu. Mnahitaji sio chini ya wachezaji 6 mfikie ile level ya simba ya wakina kagere, chama na miquisone
Pyramids moto msimu huu mech ya al ahly na pyramids kwenye lig pyramids ali dominate kila eneo mbele ya al ahlyBerkane akichukua ubingwa anampita Simba hata kama wakikutana wote fainali. Simba anahitaji kufika tu fainali ili asipitwe na Pyramids hata kama Pyramids wakichukua ubingwa.
Simba inabidi ijitahidi ifike fainali ili lolote litakalotokea ibaki kwenye top 5. Pyramids hana uwezo wa kuchukua ubingwa mbele ya Orlando, Mamelodi na Al Ahly.
Hiyo ni ligi. Pyramids atapata wakati mgumu sana kupita mbele ya Orlando kabla hata hajawaza kumfikia Al Ahly au Mamelodi.Pyramids moto msimu huu mech ya al ahly na pyramids kwenye lig pyramids ali dominate kila eneo mbele ya al ahly
Kolo wanapita kimya kimya kama hawajilona hili bandikoNimeipata kwa Micky wa Ghana.
π¨ Kombe la Dunia la Klabu 2029 β Mchujo wa Afrika! π
β Pyramids FC ndio timu ya kwanza ya Afrika kufuzu!
ποΈ Nafasi 3 zaidi zitakwenda kwa mabingwa wa CAF Champions League wa misimu ijayo:
π Iwapo timu itashinda zaidi ya mara moja, nafasi zitakazobaki zitajazwa kwa kutumia mchango wa alama kwenye viwango vya CAF.
- 2025/26
- 2026/27
- 2027/28
π’ Viwango vya CAF kabla ya msimu wa 2025/26:
1. Pyramids β alama 36
2. Sundowns β alama 28
3. Orlando Pirates β alama 28
4. Al Ahly β alama 27
5. Esperance β alama 20
6. AS FAR β alama 19
7. Al Hilal β alama 16
8. MC Alger β alama 16
9. CR Belouizdad β alama 12
10. Young Africans β alama 11
11. TP Mazembe β alama 8
12. Sagrada β alama 8
13. Maniema Union β alama 6
14. Djoliba β alama 5
15. Stade dβAbidjan β alama 4
π« Timu zinazoshiriki Kombe la Shirikisho la CAF hazikusanyi alama kwa ajili ya kufuzu Kombe la Dunia la Klabu.