Kama Kombe la Dunia la Vilabu la FIFA lingefanyika 2026 Simba ingeshiriki

Pyepyepye Muhasibu a.k.a mwenye kipenzi chake, kombe la dunia la vilabu hawaendi wanaocheza kombe la luza. FIFA wana rank zao tofauti na za CAF
 
Pyepyepye Muhasibu a.k.a mwenye kipenzi chake, kombe la dunia la vilabu hawaendi wanaocheza kombe la luza. FIFA wana rank zao tofauti na za CAF
Ambazo umeshindwa kuzitaja? BTW kwa nini umeandika kike-kike?
 
Ambazo umeshindwa kuzitaja? BTW kwa nini umeandika kike-kike?
Sawa nimeandika kikike, ila vipi wewe uliyeonesha wazi kumpenda mwanaume mwenzako. Mwanaume kamili unatumia ID ya namna hiyo? Unaleta mashaka.

Tuachane na hilo turudi kwenye soka,

Ranking za FIFA zina deal na mashindano ya klabu bingwa pekee ambapo
Ukivuka stage unapata point 3
Ukishinda mechi unapata point 3
Ukitoa sare unapata point 1

Na hizi point za kushinda na kutoa sare huanza kuhesabika kwanzia unapocheza hatua ya makundi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…