Kama kucha zako zimevimbiana hivi (clubbed) wahi haraka kumuona daktari, unaweza kuzima muda wowote.

Kama kucha zako zimevimbiana hivi (clubbed) wahi haraka kumuona daktari, unaweza kuzima muda wowote.

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Kuna wataalamu wa afya wanasema kucha za vidole vya mkono zikiwa zimevimbiana hivi(clubbed) ujue wewe ni sawa mfu anayesubiriwa kufukiwa wakati wowote. Kwamba kimojwapo, kadhaa au vyote kati ya Moyo, mapafu, figo au ini viko taabani.
20241031_082732.jpg

20241031_082736.jpg
 
Kweli kabisa, kucha za mwanadamu ni indicator kubwa afya yako ikoje, ikiwa hivyo wahi haraka hosp
 
Kuna wataalamu wa afya wanasema kucha za vidole vya mkono zikiwa zimevimbiana hivi(clubbed) ujue wewe ni sawa mfu anayesubiriwa kufukiwa wakati wowote. Kwamba kimojwapo, kadhaa au vyote kati ya Moyo, mapafu, figo au ini viko taabani.
View attachment 3139605
View attachment 3139606
Ni kweli babangu mkubwa alikuwa na kucha za hivyo alkuwa anasumbuliwa na sukari na pressure ya kupanda mno
 
Jirani yetu Idrisa alikua na kucha za hivyo. 2021 alikata moto ghafla kumbe alikua ana shida zake ndani
 
Back
Top Bottom