Kama kucha zako zimevimbiana hivi (clubbed) wahi haraka kumuona daktari, unaweza kuzima muda wowote.

Kule kijijini kwetu watu wa hivyo wapo wengi tu. Toka Mimi mdogo nasoma Hadi Leo hii zaidi ya miaka 20 wanadunda japo umri wao Kwa Sasa umeenda
 
Kweli kabisa, kucha za mwanadamu ni indicator kubwa afya yako ikoje, ikiwa hivyo wahi haraka hosp
 
Ni kweli babangu mkubwa alikuwa na kucha za hivyo alkuwa anasumbuliwa na sukari na pressure ya kupanda mno
 
Jirani yetu Idrisa alikua na kucha za hivyo. 2021 alikata moto ghafla kumbe alikua ana shida zake ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…