FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 448
- 409
Tanzania yote ingekuwa inapiga keleleNi swali makini Ili tukishajua tupeleke kampeni za kutumia salama(kinga).na wataamu wa afya kuangazia.asante
Wee muongo huku sisi wakunyumba hatuna mambo hayo.Miti inayopigwa mkoa wa Ruvuma sio ya kitoto aseeee
Usicheze na wamatengo aiseeeeee wale watu ni wanatoumbaner sijapata kuona loooh! Hadi kwenye mashamba ya kahawa milimani kule ni noumerrrrrWee muongo huku sisi wakunyumba hatuna mambo hayo.