BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
NANI KAMA MAMAamwache aondoke ...
huyo mwanamke hafai kabisa..
akafie mbali huko....
NANI KAMA MAMA
Huyo dada kakosea lakini na hili tuliangalie na upande mwingine maana kuna wanaume wengine wanahisi mke ndo punda, hata kanga za mama yake hafui au hata ajitolee kusafisha chumba anacholala mama yake ili tuone anakumbuka alinyonya hilo ziwa basi. nafikiri tungepata habari ya upande wa pili tujue
mume amemuwekea mama yake mtu wa kumsaidia mama yake? Au mke ana jukumu la kumtunza yeye, watoto na mama mkwe?
Ila kuita mama wa mwenzie mzigo? Hapana haikubaliki....