kama kuna aliewahi kupata mwalimu wa kubadishana vituo vya kazi tafadhali.

x - mas

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
931
Reaction score
612
Asalam
alehkum/bwana asifiwe/abari zenu.Ikiwa mtu amepata mwalimu wa
kubadilishana naye vituo vya kazi naomba kujuzwa ni taratibu zipi afuate
ili aweze kufanikiwa kuhama?je,ni sababu zipi zinaweza kusababisha mtu
kunyimwa uhamisho kwa njia hii ya kubadilishana?Asante kwa kusoma ni
matumaini yangu utanijibu vizuri Mungu akubariki..
 
Asalam
alehkum/bwana asifiwe/abari zenu.Ikiwa mtu amepata mwalimu wa
kubadilishana naye vituo vya kazi naomba kujuzwa ni taratibu zipi afuate
ili aweze kufanikiwa kuhama?je,ni sababu zipi zinaweza kusababisha mtu
kunyimwa uhamisho kwa njia hii ya kubadilishana?Asante kwa kusoma ni
matumaini yangu utanijibu vizuri Mungu akubariki..[/
 
Kama ni ndani ya wilaya moja mnakwenda kumwona afisaelimu wa wilaya husika atawaelekeza cha kufanya. Kama ni wilaya tofauti kila mmoja wenu aende kwa afisaelimu wa wilaya yake ili akapate maelekezo ya nini cha kufanya. Sababu zinazoweza kukufanya unyimwe uhamisho kwa njia hii ni iwapo wewe ni mwalimu pekee wa somo fulani katika shule yako na unayebadilishana naye si wa somo hilo.
 
Back
Top Bottom