mahindi hayaoti mjini
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 2,120
- 2,709
Si unajua tena gharama za kumuona dokta yaani consultation fee ilivyo kubwa? Kama kuna yeyote humu anisaidie ushari, mara kadhaa nimeenda hospitali sababu ya vidonda ndani ya mdomo pembeni, wakati mwingine mbele ya mdomo kwa ndani chini ya ulimi, wananicheki na kunipa dawa ya kupaka cream, vinatulia halafu vinaanza tena, nikiwarudia tiba ni hiyo hiyo, nikiwauliza ni nini wanasema ni joto la tumbo ila havichezi mbali, kwa anayejua je ni maradhi gani haya?
Sababu naona madokta wamechemka!
Sababu naona madokta wamechemka!