mahindi hayaoti mjini
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 2,120
- 2,709
Sawa mkuu asante, ila madokta ndio wana sema ni joto la tumboVidonda mdomoni vinaweza sababishwa na fangus wa mdomoni, hvyo unaweza waona wataalamu ili mshauriane kuhusu matibabu yake Fluconazole mara nyingi inatibu hii situation...
Hilo joto linakuwaje kuwaje?Sawa mkuu asante, ila madokta ndio wana sema ni joto la tumbo
Hata mimi nimeshindwa kuelewana wananipa cream ya kupakaa humo mdomoni, vinaacha halafu baada ya muda vinarudi sasa ni zaidi ya mwakaHilo joto linakuwaje kuwaje?
Mtoa mada kapiga deki bahariDalili za awali hizo za Gitaa la Solo la Dally Kimoko hilo na jitahidi uanze Kujikubali kwa Maisha mapya ya Matumaini daima.