Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Nina shida ya haraka Kuna kitu nahitaji kuuliza kabla sijaja huko, please kama wapo nawahitaji either tuongee public au private yote Sawa tu
Kama upo au umewahi kufika Mauritius please naomba msaada wako tuwasiliane, kama hujawah fika Ila unajua mengi kuhusu Mauritius pia ni sawa tu
Kama upo au umewahi kufika Mauritius please naomba msaada wako tuwasiliane, kama hujawah fika Ila unajua mengi kuhusu Mauritius pia ni sawa tu