Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
π π π π aache kupika karanga za kuchemsha au akauze mbuzi msalato.Mwalimu mpwayugu!! Nepal kwenye Dili la udereva ulisharudi!????
Vipi Tena wewe so mwanasheria kwenye NGO!??
Vipi Ile Prado Yako namba E!??
Sasa unataka kwenga Mauritius!!???
Hahahaaaa haaa duuu!?? Nakushauri nenda mpunguzi ufuge kuku wa kienyeji na kilimo Cha zabibu bila kuacha kupika kangara[emoji42][emoji42][emoji42]
Ukiona hivyo ujue yemwenyewe ni mtu wa mizaha mizaha sanaMtu kaomba msaada watu wanajibu mzaha!! Pole sana pwayungu village
Hahaa....wala asifike msalato auzie mbuzi huko huko mpwayungu kuna mnada mkubwa tu pale kila mwezi tarehe za katikati na majirani zao ng'ambhaku na huzi auze mbuzi na ng'ombe[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] aache kupika karanga za kuchemsha au akauze mbuzi msalato.
Tapeli huyo kazi yake kutukana walimu,police na manesi!! Hana loloteMtu kaomba msaada watu wanajibu mzaha!! Pole sana pwayungu village