Nelson nely
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 4,251
- 2,869
usikute hana hata simuAcha Kutudanganya We Mama zako umewa save vp
ikoje mkuu?Mkuu hiyo avatar yako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
arooooooousikute hana hata simu
fundi rangi,fundi bomba,fundi majiko......Au mzee fatuma,mzee manka na babu hadija
hahahahaaaaa,kama ipo kwenye simu yako mama ndo basi tena!Sawa baba nely
tafuta avatar za The boss,katavi n.k mkuu utapata pichaHa ha ha.... Hebu tupe na description za avatar... Ukitumia ipi unaonekana mtu mzima...
mama zangu???mama nnaye mmoja tu,tena alishatanguliaAcha Kutudanganya We Mama zako umewa save vp
Hahahaaaa ndo basi tenaAu mzee fatuma,mzee manka na babu hadija
Teh teh teh na mabalozi wa nyumba kumiNa namba za madalali