Kama kuna kitu cha msingi kuandamana basi ni kuwepo na mabadiliko kwenye katiba yaruhusu Viongozi kushitakiwa baada ya Madaraka

Kama kuna kitu cha msingi kuandamana basi ni kuwepo na mabadiliko kwenye katiba yaruhusu Viongozi kushitakiwa baada ya Madaraka

Hili ni la msingi sana ,kuna siku Maliasili zote za Nchi zitaondoka na ubadhilifu mkubwa utafanyika na tutaendelea kupiga kelele huku wahusika wanadunda mitaani .

Hili ni la msingi sana tuweke uchama pembeni .
...baada ya kuelewana wao kwa wao huku wapinzani na wanaharakati wakipinga mabadiliko yaliyopendekezwa, dhana ya kuwajibika kwa viongozi wa mihimili ya dola imepotea kabisa, wanajikuta hawawajibiki popote kwa makosa wanayofanya wakiwa madarakani. Hakuna wa kuwaambaia maana baadhi tunataka kuwa chawa baada ya kupe kuonekana ni mkubwa sana

Kitila anasema URONGO na kusahau kwamba ni UROHO wa wenye dhamana (wanakula kama funza - akimeza anakunya na anameza tena) ndiyo unaumiza wananchi na rasilimali zao. Wajasiliamali wa kiutawala. Yana Mwisho (Kuli- Shafi, A)
 
Hili ni la msingi sana ,kuna siku Maliasili zote za Nchi zitaondoka na ubadhilifu mkubwa utafanyika na tutaendelea kupiga kelele huku wahusika wanadunda mitaani .

Hili ni la msingi sana tuweke uchama pembeni .
Nchi gani duniani wanshtaki Marais wao baada ya kutoka madarakani?
 
Mfano sheria ya ardhi inasema ardhi yote ipo chini ya udhamini wa rais. Huu ni utapeli mkubwa.
 
Niliwahi kusema iwapo hakutakuwa na kifungu Cha kushitakiwa rais akiwa au ametoka madarakani. Uhuni wote wa matumizi mabaya ya madaraka uko kwenye kifungu hicho Cha kutoshitakiwa kwa rais.
Hakika
 
Nchi gani duniani wanshtaki Marais wao baada ya kutoka madarakani?
Ufaransa, Argentina, Brazil, Croatia, Georgia, Israel, Italy na nyingine nyingi. Usiulize wamemshitaki nani Google uone orodha ya marais walioshitakiwa walipofanya makosa wakiwa madarakani. Argentina ndio kabisa
 
Nchi gani duniani wanshtaki Marais wao baada ya kutoka madarakani?

Nchi zote Duniani zenye watu wanajielewa na walio na akili, mtu yeyote akifanya kosa, bila ya kujali cheo chake, anashtakiwa.

Nchi ambazo viongozi wao wakuu wa nchi waluwahi kushtakiwa na kuhukumiwa jela, ni pamoja na:

Moldova, Macedonia, Georgia, Ufaransa, Ukraine, Armenia, Croatia, Portugal, n.k.
 
Ufaransa, Argentina, Brazil, Croatia, Georgia, Israel, Italy na nyingine nyingi. Usiulize wamemshitaki nani Google uone orodha ya marais walioshitakiwa walipofanya makosa wakiwa madarakani. Argentina ndio kabisa
Bora amejibiwa
 
Hili ni la msingi sana, kuna siku Maliasili zote za Nchi zitaondoka na ubadhilifu mkubwa utafanyika na tutaendelea kupiga kelele huku wahusika wanadunda mitaani.

Hili ni la msingi sana tuweke uchama pembeni.
Bila kufanya mabadiliko ya katiba ni bure. Akiondoka atahakikisha anamwachia atakayemlinda. Au atang'ang'ania madarakani mpaka kifo. Suluhisho ni kuondoa madaraka ambayo yamelimbikizwa kwa mtu mmoja. Tumefika hatua rais akiamua kuchukuwa machangudoa na kusafiri nao hakuna wa kuhoji.
 
Hili ni la msingi sana, kuna siku Maliasili zote za Nchi zitaondoka na ubadhilifu mkubwa utafanyika na tutaendelea kupiga kelele huku wahusika wanadunda mitaani.

Hili ni la msingi sana tuweke uchama pembeni.
kwani hilo halikuwepo ktk yale maandamano yenu? Shida ni kwamba wananchi wanwapuuza hata mgeandamana masaa 24 siku 27 kwa wiki. Madaraka hutoka kwa wananchi siyo kwa maandamano. Wananchi wameridhika na serikali iliyoko madarakani na wanaona kabisa mmejaa uzushi.
 
Nchi zote Duniani zenye watu wanajielewa na walio na akili, mtu yeyote akifanya kosa, bila ya kujali cheo chake, anashtakiwa.

Nchi ambazo viongozi wao wakuu wa nchi waluwahi kushtakiwa na kuhukumiwa jela, ni pamoja na:

Moldova, Macedonia, Georgia, Ufaransa, Ukraine, Armenia, Croatia, Portugal, n.k.
FEBRUARY 14, 2024 3:22 PM CET
BY VICTOR GOURY-LAFFONT
PARIS — An appeals court in Paris confirmed the sentencing of former President Nicolas Sarkozy to six months in prison, with six months suspended, over his 2012 reelection campaign overspend.
The ruling upholds a lower court decision agreeing with prosecutors charging that Sarkozy’s team exceeded the spending limit by billing his right-wing Les Républicains party instead of the campaign. Sarkozy received a one-year prison sentence, while further party and campaign officials were also sentenced to prison and banned from running for office.
Throughout the proceedings, Sarkozy — who served as French president from 2007 to 2012 — maintained his innocence, insisting he was unaware of any false billing.

KWA UFARANSA ULIMAANISHA HII TAARIFA?
 
Back
Top Bottom