Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
...baada ya kuelewana wao kwa wao huku wapinzani na wanaharakati wakipinga mabadiliko yaliyopendekezwa, dhana ya kuwajibika kwa viongozi wa mihimili ya dola imepotea kabisa, wanajikuta hawawajibiki popote kwa makosa wanayofanya wakiwa madarakani. Hakuna wa kuwaambaia maana baadhi tunataka kuwa chawa baada ya kupe kuonekana ni mkubwa sanaHili ni la msingi sana ,kuna siku Maliasili zote za Nchi zitaondoka na ubadhilifu mkubwa utafanyika na tutaendelea kupiga kelele huku wahusika wanadunda mitaani .
Hili ni la msingi sana tuweke uchama pembeni .
Nchi gani duniani wanshtaki Marais wao baada ya kutoka madarakani?Hili ni la msingi sana ,kuna siku Maliasili zote za Nchi zitaondoka na ubadhilifu mkubwa utafanyika na tutaendelea kupiga kelele huku wahusika wanadunda mitaani .
Hili ni la msingi sana tuweke uchama pembeni .
HakikaNiliwahi kusema iwapo hakutakuwa na kifungu Cha kushitakiwa rais akiwa au ametoka madarakani. Uhuni wote wa matumizi mabaya ya madaraka uko kwenye kifungu hicho Cha kutoshitakiwa kwa rais.
Ni kweli kabisaKutokushitakiwa maana yake umeweka uhakika wa kuiba hata wakipiga kelele
Ufaransa, Argentina, Brazil, Croatia, Georgia, Israel, Italy na nyingine nyingi. Usiulize wamemshitaki nani Google uone orodha ya marais walioshitakiwa walipofanya makosa wakiwa madarakani. Argentina ndio kabisaNchi gani duniani wanshtaki Marais wao baada ya kutoka madarakani?
Nchi gani duniani wanshtaki Marais wao baada ya kutoka madarakani?
Siku gani? Wakati huo Watanzania wako wapi?Hili ni la msingi sana, kuna siku Maliasili zote za Nchi zitaondoka na ubadhilifu mkubwa utafanyika na tutaendelea kupiga kelele huku wahusika wanadunda mitaani.
Hili ni la msingi sana tuweke uchama pembeni.
Bora amejibiwaUfaransa, Argentina, Brazil, Croatia, Georgia, Israel, Italy na nyingine nyingi. Usiulize wamemshitaki nani Google uone orodha ya marais walioshitakiwa walipofanya makosa wakiwa madarakani. Argentina ndio kabisa
Tutakao andamana si ni watanzaniaSiku gani? Wakati huo Watanzania wako wapi?
Mtakuwa mnaandamania nini hasa?Tutakao andamana si ni watanzania
Bila kufanya mabadiliko ya katiba ni bure. Akiondoka atahakikisha anamwachia atakayemlinda. Au atang'ang'ania madarakani mpaka kifo. Suluhisho ni kuondoa madaraka ambayo yamelimbikizwa kwa mtu mmoja. Tumefika hatua rais akiamua kuchukuwa machangudoa na kusafiri nao hakuna wa kuhoji.Hili ni la msingi sana, kuna siku Maliasili zote za Nchi zitaondoka na ubadhilifu mkubwa utafanyika na tutaendelea kupiga kelele huku wahusika wanadunda mitaani.
Hili ni la msingi sana tuweke uchama pembeni.
kwani hilo halikuwepo ktk yale maandamano yenu? Shida ni kwamba wananchi wanwapuuza hata mgeandamana masaa 24 siku 27 kwa wiki. Madaraka hutoka kwa wananchi siyo kwa maandamano. Wananchi wameridhika na serikali iliyoko madarakani na wanaona kabisa mmejaa uzushi.Hili ni la msingi sana, kuna siku Maliasili zote za Nchi zitaondoka na ubadhilifu mkubwa utafanyika na tutaendelea kupiga kelele huku wahusika wanadunda mitaani.
Hili ni la msingi sana tuweke uchama pembeni.
FEBRUARY 14, 2024 3:22 PM CETNchi zote Duniani zenye watu wanajielewa na walio na akili, mtu yeyote akifanya kosa, bila ya kujali cheo chake, anashtakiwa.
Nchi ambazo viongozi wao wakuu wa nchi waluwahi kushtakiwa na kuhukumiwa jela, ni pamoja na:
Moldova, Macedonia, Georgia, Ufaransa, Ukraine, Armenia, Croatia, Portugal, n.k.