JERUSALEMU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 3,156
- 3,628
MAOMBI bila ya TOBA ni ubatili. Hiyo ndiyo hoja ya JERUSALEMU.Nikwambie tu Maombi yamepokekewa
Kwani yeye anamwakilisha nani?,ninachojifunza ni kwamba ninyi hamna uvumilivu ila mnataka wengine ndo wawe na uvumilivu,,
Muombeni Lissu msamaha. Wauwaji nyieTumia hekima ndogo. Watu wameomba maombi ya kufunga Leo unasema hayajapokelewa?
Wewe Ni nani unayehukumu? Mwachie mwenye mamlaka atujibu kwa njia zake. Nikwambie tu Maombi yamepokekewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama yeye hajatubu Ni yeye sio woteMAOMBI bila ya TOBA ni ubatili. Hiyo ndiyo hoja ya JERUSALEMU.
Muombeni Lisu msamaha. Wauwaji nyie
Acha kukaa kihasara hasara
Kuna vitu vinashangaza kweli,mtu unasoma uzi wake unajiuliza huyu anaanzaje kuongea kwa niaba ya Mungu?Tumia hekima ndogo. Watu wameomba maombi ya kufunga Leo unasema hayajapokelewa?
Wewe Ni nani unayehukumu? Mwachie mwenye mamlaka atujibu kwa njia zake. Nikwambie tu Maombi yamepokekewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna dhambi zimetendwa na watanzania wengi wanajua, Toba wanayoitaka watu ni ya kitaifa. Kwa nini watu waambiwe waombe bila ya kuhimizwa kutubu huku wao wanaotaka watu waombe wakisema hadharani kwamba wametubu na wao kwa makosa ya taifa lao?Mambo ya rohoni awaachie wa rohoniAu alitaka Nani asimame hadharani aseme ametubu?
Na nyie nani kawaambia kwamba Mungu kapokea maombi yenu? Mbona na nyie mnaongea kwa niaba ya Mungu kuonesha kwamba maombi yenu yamepokelewa. Mmejuaje?Kuna vitu vinashangaza kweli,mtu unasoma uzi wake unajiuliza huyu anaanzaje kuongea kwa niaba ya Mungu?
Mpuuzi mpuuzi tu
Kina nani hao?hakuna sehemu nilipoandika hayo uliyoandikaNa nyie nani kawaambia kwamba Mungu kapokea maombi yenu? Mbona na nyie mnaongea kwa niaba ya Mungu kuonesha kwamba maombi yenu yamepokelewa. Mmejuaje?
Mimi Nina uhakika hayaja pokelewa. Subiri uone Hospitali ya Amana itakavyo jaa wagonjwa wa Covid-19 by Wednesday. Jana kutwa nzima wagonjwa wanapelekwa unategemea nini?
Na nyie nani kawaambia kwamba Mungu kapokea maombi yenu? Mbona na nyie mnaongea kwa niaba ya Mungu kuonesha kwamba maombi yenu yamepokelewa. Mmejuaje?
Naam, wanajamvi siku tatu za maombi zimeisha Jana. Kama maombi ya waombaji yameswihi hilo litajidhihirisha siku si nyingine kuanzia leo.
Ila kwa maoni yangu hayajaswihi au hajapokelewa. Kwanini nasema hivi? Ni ubatili wa maombi yenyewe. Waombaji wengi walimtukuza binadamu badala ya Mungu. Rejea maombi ya RPZ mmoja wa A Town.
Aisha, maombi huhitaji utulivu bwana, mnapata wapi ujasiri wa kuomba huku mnamlikwa na mikamera lukuki?
Kabla ya maombi Mungu anataka tufanye toba ya kweli. Tunajua kuigiza Watanzania sisi! Binafsi nilitamani kabla ya maombi tungewaachia huru Mashehe wa uamsho wote bila masharti, Tumwachie Singasinga na Rugemalila, Tuwaachie wafungwa wote wa kisiasa, Tumwombe radhi Tundu Lissu n.k Ndio twende mbele za Mungu kumuomba huruma yake aiangamize Covid-19.
Kwa niliyo yaona ni kama wengine walikuwa wanamfokea Mungu badala ya kumtukuza. Tumeicha dini kwenye mikono batili isiyo na maarifa.
Hakika tunahitaji maarifa.