Complex Analysis
JF-Expert Member
- May 9, 2020
- 219
- 417
Kijana umenifurahisha sanawakuu mmenitupa na uzi wangu
nenda napanya kule RuvumaWakuu habari yenu.
Kuna vifaa vya stationary nimeachiwa na my brother, yeye kapata kazi mkoa mwingine so ameniachia ili niweze kuvitumia kwa biashara eneo alilokuwa anafanyia hiyo biashara mwanzo lilivunjwa kupisha maboresho ya miundombinu.
So naomba kama kuna mtu yeyote humu kaona mazingira yoyote yenye uhitaji ambapo anafikiri hiyo biashara naweza ifanyia anaweza nishirikisha ikiwa ni eneo la chuoni kwenye mzunguko mkubwa wa watu itapendeza zaidi.
Natanguliza shukrani wakuu
iyo napanya ipo ruvuma wapi,kwanini umeona huko kunafaa kwa hii biashara???nenda napanya kule Ruvuma
hahaaah mkuu yaani nashindwa kulala usiku sababu akili mda wote inawaza nitoke kimaisha kwa style gani...nimepata idea hii naona naleta uzi wakuu wananipotezea...ndo mana nimeona nijitahidi tu kuwakumbusha kwa style hiiKijana umenifurahisha sana
vifaa sio vyangu,meachiwa tu na brother ambae amepata kazi mkoa mwingineNiuzie hiyo stationary
nipo morogoro mjini mkuu....24 years old
Tafuta fremu karibu na chuo cha MUM au Sokoine universitynipo morogoro mjini mkuu....24 years old
mkuu wewe ni mwenyeji maeneo hayo???Tafuta fremu karibu na chuo cha MUM au Sokoine university