The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Sasa Magufuli kaingiaje? unajua kwa mtu ambaye haishi Tanzania anaweza kufikiri hii nchi ilikuwa na maendeleo makubwa na ni ya mfano kwa demokrasia ila Magufuli tu ndio kaja kuharibu.Mikopo yenye masharti nafuu ipo lakini huwa inaambatana na masharti yake kama:
- Haki za binadamu
- Demokrasia...
HuelewekiSasa Magufuli kaingiaje? unajua kwa mtu ambaye haishi Tanzania anaweza kufikiri hii nchi ilikuwa na maendeleo makubwa na ni ya mfano kwa demokrasia ila Magufuli tu ndio kaja kuharibu.
Alikuwa anajaribu kuonyesha kuwa hayo yanayoitwa masharti nafuu, ni nafuu kwa kuwa hayana ongezeko la kifedha moja kwa moja, lakini ni magumu katika utawala wa aina fulani.Sasa Magufuli kaingiaje? unajua kwa mtu ambaye haishi Tanzania anaweza kufikiri hii nchi ilikuwa na maendeleo makubwa na ni ya mfano kwa demokrasia ila Magufuli tu ndio kaja kuharibu.
Kilichoulizwa kwenye mada hakijajibiwa ila unaelezwa utawala Magufuli, sikuona au hakukuwa na haja ya kumtaja Magufuli maana sidhani kama haiwezekani kujibu kilichoulizwa pasina kuzungumzia utawala wa Mwendazake.Alikuwa anajaribu kuonyesha kuwa hayo yanayoitwa masharti nafuu, ni nafuu kwa kuwa hayana ongezeko la kifedha moja kwa moja, lakini ni magumu katika utawala wa aina fulani....