GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Taifa la Kenya kwa sasa linapitia Kipindi kigumu hasa kutokana na Kukumbwa na Uhaba mkubwa wa Mipira ya Kiume ( Condoms ) hali inayofanya Wakenya wafikirie mara mbili mbili linapokuja Suala la 'Kubanduana' huku wengine wakimalizia tu Haja ( Nyege ) zao kwa Kupiga Nyeto ( Punyeto ) kwa kwenda mbele mpaka pale Condoms zitakapofurika tena nchini humo ( Kenya )
Kwa undani zaidi tembelea Kurasa za BBC Swahili ( Dira ya Dunia ) ili uweze kujua ni kwanini Condoms ( Mipira ya Kiume ) imeadimika Kenya na sasa 'Hawabanduani' tena kwa Kuogopa Kuambukizwa Gitaa Hatari la Solo la Dally Kimoko ili Wahangaike nalo.