haieleweki utaajiliwa wapi? course content ni zile zile za advance mfano utakutana na mechanics, magnetism,heat,wave then hakuna cha field walimu wachache practicals mpaka vifaa vitoke udsm na mta jikuta practical 20 mnafanya kwa wiki moja ili vifaa virudi, nina wambia kwakuwa mimi sikupata nafasi ya kupata ushauri kwasasa nimeona bora nisome diploma pale D.I.T

hiko si chuo cha kata ya kawaida hayo.
MKUU NAWEZA PATA LINK niangalie majina ya waliochaguliwa udom nimechemka katika website yao inazingua sana
majina bado mkuu vuta subira mwisho wa mwezi huu mambo yatakua sawa.
nimepata tetesi mkuu kuwa yapo out au ni uzushi tu huo?
kutokana na tamko la TCU selection zitatoka mwisho mwezi huu.
ok sawa mkuu nimekuelewa
vp kuhusu telecommunication kaka ya udom?
kumbe ndo hayo tena?what is it then...thanks god wamenikosa.but boom c kama kawaida?