Kama kuna mtu ana habari zozote kuhusu mikopo na walio fanyiwa transfer.tunakonda kwa mawazo?

Thebony

Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
92
Reaction score
2
Ndugu zangu mie nahsi semister ya pil nitaacha chuo maana maish ni magumu san hap chuo.nilifanyiwa transfer ila hawakuufanyia transfr mkopo wangu.je wamefkia wap? Watu hawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…