Kama kuna mtu ana uelewa na hili anisaidie!!

Kama kuna mtu ana uelewa na hili anisaidie!!

paul kitereja

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2012
Posts
260
Reaction score
45
mimi ni mwanafunzi wa first year mzumbe nilikosa mkopo,,je nauliza naweza nikapata mkopo second year kama nikiomba??mwenye kufahamu naomba anijuze!! ahsanteni!!
 
Kwa budget hii ya mwaka huu,sahau tu dogo.
 
Uwezekano wa kupata mkopo ukiwa 2nd year upo, kwa sababu unaomba kila mwaka upya (kama utaratibu haujabadilika).
Pole na kila la kheri. Kaza buti utafika tu.
 
Uwezekano upo lakini ni mdogo sana kwa maana wa mwaka wa pili wanakuwa wana renew mkataba na sio kuomba mkopo, hivyo wewe kama utakuwa unaomba kwa mara ya kwanza inakuwa ngumu kidogo.
 
mimi ni mwanafunzi wa first year mzumbe nilikosa mkopo,,je nauliza naweza nikapata mkopo second year kama nikiomba??mwenye kufahamu naomba anijuze!! ahsanteni!!
Everything is possible, Kuna utaratibu wa kuomba kwa wale walio kwisha kuomba na kukosa just tembelea mtandao wa HESLB kuna jins ya kuomba.
 
ahsante ndugu yangu nashukuru kwa kunitia moyo! mungu akubariki..
 
pole met wng! Lazm utapata coz second year weng walipata japo walikosa first year
 
budget ipo limited,ukiaply tena ambatanisha strong reason ya kuomba tena mkopo,alot of my friends wa Mzumbe wameaply
 
Back
Top Bottom