Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iliingia notion mbaya sana vichwani mwa watunga sera mwaka 2000 michezo ikafutwa mashuleni kwa kigezo Cha Haina faida na inachangia watoto ku fail masomo(wakati hata wangefaulu hapakuwa na shule za kuwapeleka) baada ya hapo taratibu Kila mzazi akaamini kucheza ni kupoteza mda basi ndio maana hadi Leo chama na azizi wanagombewa na Kila team inajitapa kuvuta vyuma kutoka mataifa kama burkanafaso n.k huku baadhi wakionesha uzalendo fake kwa kudai tuwajali wazawa.Hii nchi basketball ndiyo imeporomoka kabisa. Rwanda wametoka 0 hadi wametupita, sisi bado tumebaki na "Taifa Cup". Napendaga kuuliza maswali ya kiufukunyuku, hivi michezo iliikosea nini serikali?
Ni kweli kabisa. Uko sahihi. Ukweli ni kuwa michezo ina mchango mkubwa katika kukuza uwezo wa kufikiri wa mwanafunzi pamoja na faida nyingine kama kumfundisha mwanafunzi jinsi ya kufanya kazi kwa kushirikiana na wenzake, kuwa na focus na nidhamu hadi kufikia malengo na kama malengo yasipofikiwa (kutopata ushindi), kujipanga upya na kuangalia ulipokosea ili kuutafuta ushindi siku nyingine. Hapo sijaongelea kuujenga mwili ili kuwa na afya bora. Pia sijaongelea faida za baadae za kiuchumi za ajira za mtu mmoja mmoja na pato la taifa kwa kupata wanamichezo bora na timu bora za kiushindani.Iliingia notion mbaya sana vichwani mwa watunga sera mwaka 2000 michezo ikafutwa mashuleni kwa kigezo Cha Haina faida na inachangia watoto ku fail masomo(wakati hata wangefaulu hapakuwa na shule za kuwapeleka) baada ya hapo taratibu Kila mzazi akaamini kucheza ni kupoteza mda basi ndio maana hadi Leo chama na azizi wanagombewa na Kila team inajitapa kuvuta vyuma kutoka mataifa kama burkanafaso n.k huku baadhi wakionesha uzalendo fake kwa kudai tuwajali wazawa.
Michezo iliuliwa na serikali