kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,064
- 4,056
Ulevi, bangi na elimu ya kukalilishwa ni tatizo kubwa kwa nchi yetu.
Haiwezekani timu imeshinda halafu kuna watanzania wachache wapuuzi wanakimbilia kupigana na wageni tena kwa kung'oa viti ambavyo ni mali yao wenyewe.
Mimi ni mwanasimba ninae miliki kadi ya uanachama ila upuuzi kama huu hautakiwi kuungwa mkono.
Namna nyingine ingetumika kuwazuia wageni waliokua wakifanya fujo ila sio kwa kung'oa viti.