Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Kwema?
Aisee wadau nimekuwa na mapenzi makubwa na Jennifer Lopez ila nimekosa njia ya kukutana naye. Kama kuna mtu mwenye 'access' naye anipm, nitampa chochote kile. aisee, nyie, jamani mh!
Yaani huyu mmama au sijui mdada anazeeka na uzuri wake ule ule wa miaka ya 90, kipindi hicho nipo kijana mdogo hivi wa makamo, si unajua vijana wa Mzizima miaka ile?
Kwangu wanawake bora sana wa kwanza huyu JLo, Amber heard, Mwasiti Almasi, Lulu diva na mwishowe ni Rihanna, ni wanawake bora kuwazidi wote.
Ila nitapambana juu chini angalau nimpate huyu JLo, nimemuona leo akitumbuiza kwenye Kombe la Dunia pamoja na Pitbull. Kiukweli imeniuma wakati wanakumbatiana vile, nusura nianguke ila mke wangu Adelina Kimambo akanishika mkono, na uzuri wake mke wangu anajua vile ninavyompenda hii pili aisee.