Wakina Zuchu tuko nao huku Gongo la Mboto, halafu isitoshe Zuu kamshushia tusi zito la nguoni fan wake baada ya kuambiwa ukweli kuwa analiaibisha taifa letu kwenye nchi za ughaibuni
Kuhusu JLo naiweka whtsapp no yake huwa tunachat sana, ila usiingie kiboya atakutukana japo ana kaustaarabu fulani hv.
Kwa Lulu Diva kuna Ukweli. Aisee