chapati mbili na chai
Member
- Jun 1, 2026
- 99
- 189
Asante kwa kushiriki.Mimi ni mpishi mzuri Sana wa Ugali!
Ugali aina zote.
Dona,
Sembe,
Ugali wa mhogo,
Ugali wa mtama.
Ugali mlaini kabisa au lile Dona la kisukuma.
Mtu seriously nicheki DM
Nimevunja Sheria Gani mkuuHii sasa ishakua too much, oya upokonywe hio simu kwa nguvu
Nimevunja Sheria Gani mkuu
Hii mpya kwangu mkuuUnaweza pika ugali wa mwendokasi?
Wanawake wanakujaVigezo na masharti kuzingatiwa
anahitajika mpishi wa pilau na biriani, wa kike, akiwa na msambwanda atazingatiwa kuliko wengine