GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Na niishipo Tandale ni Uswahili mno tu.Huko ndio Uswahilini
Kwani ( Mabwana ) zao 24/7 huwa haiwatoshi tu Mkuu? Na kibaya zaidi huwa wanakuwa na Wivu nawe na Kukufuatilia kuliko hata hao wanaoishi nao Vyumbani mwao.Wanatengeneza mazingira ya kubanduliwa.