Kama kuna siku Simba mtajuta kucheza na Yanga ni 19 Oktoba

Kama kuna siku Simba mtajuta kucheza na Yanga ni 19 Oktoba

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Hii mechi n kati ya mechi nyepesi sana ya Yanga

Pengine ni zaidi ya vs Kagera

Kama kuna mechi Simba atajuta kuingiza timu uwanjan n Derby ijayo.

Halii si nzuri kwao mpaka sasa najua kamati inahangaika kupindua matokeo na ukweli wanajua walichoelezwa

Kifupi tu yanga atashinda kuanzia goki 3 nk ....na kama Simba hawatadumisha uchezaji wa adabu na hekima basi msishangae red Kadi kwenye hii mechii

Kila la kheri wote
 
Halafu Yanga watapitia milango isiyoruhusiwa na kuruka uzio
Yanga watakwambia wao hawaamini hayo mambo kabisa, kwamba wana team nzuri inatosha...

Ajabu siku ya mechi wanapeleka gari lisilo na watu, baadae wanapanda juu ya ukuta kama ngedere kuingia uwanjani...

Ukiwauliza vipi? Watakwambia Simba wachawi...

Ukiwauliza mumejuaje? Wanakua wakali...
 
Kwani uwongo?..hadi al ahly wanawajua kwa uchawi
 
Kama timu iliweza kufanya ushirikina kwa kuwasha moto Tena ugenini na kulifedhehesha Taifa na Bado waka pasuka sijui inahitaji uthibitisho Gani juu ya mambo ya kushirikiana na Simba.

CAF Walisha watandika adhabu juu ya ushirikina, Apa NBC premier league hakuna msimu uliopita bila Simba kutozwa adhabu juu ya ushirikina.
Tengenezeni timu, mnaendelea kutandikwa mpaka mtakapo jitambua.
 
Hii mechi n kati ya mechi nyepesi sana ya Yanga

Pengine ni zaidi ya vs Kagera

Kama kuna mechi Simba atajuta kuingiza timu uwanjan n Derby ijayo.

Halii si nzuri kwao mpaka sasa najua kamati inahangaika kupindua matokeo na ukweli wanajua walichoelezwa

Kifupi tu yanga atashinda kuanzia goki 3 nk ....na kama Simba hawatadumisha uchezaji wa adabu na hekima basi msishangae red Kadi kwenye hii mechii

Kila la kheri wote
unabii vs utabiri
 
Yule paka alikua anafanya nini pale kwa mkapa game ikiendelea?..moto uwanjani south africa,na juzi mtoto katumwa akaweke kitu golini game na waarabu,bus kurudi kinyume nyume
Taratibuuu watatumwagia mavii Derby ijayoo
 
Back
Top Bottom