Kama kuna tabia za abiria wa Daladala hasa za Dar es Salaam ambazo huwa zinanichukiza sana ni hizi kuu mbili tu...

Mzukulu

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2020
Posts
1,401
Reaction score
2,641
1. Wengine kila tupandapo Dala Dala ikitokea tumebahatika Kukaa Siti Moja na Abiria wa Kike Kutongoza / Kumtongoza ni Jambo la lazima mno kama Israeli na Roho ya Binadamu. Sasa huwa inakera zaidi pale Mwanamume unapoanza Kutongoza halafu unakuta Abiria wa ama Siti yako ya mbele au ya nyuma nae anaanza Kuyasikilza Mashairi yako ya Kitapeli unayompa Mwanamke ambapo bila hata Aibu unakuta Abiria wengine wanasogeza kabisa Mibichwa mikubwa kama Mapipa ya SIMTANK ilimradi tu wakusikie. Na kuna mingine ikigundua kuwa Unatongoza inaanza Kugeuka Vitini na Kukukodolea bila Aibu. Inakera!

2. Leo nusura nimzabe Mtu Kofi ndani ya Daladala ila wakati najiandaa kufanya hivyo kwa huyu Abiria nikaona anapokea Simu yake na kumwambia Mtu ( nadhani atakuwa ni Bondia wa Ngumi za Kulipwa nchini Tanzania ) kuwa ajiandae kwa Mazoezi kwani ana pambano la Ndondi Mwezi ujao na Mzungu kutoka Ujerumani nikaona kuwa lile Zoezi langu la kutaka Kumzaba Kibao ( Kofi ) liishie hapo hapo kwani huenda ningemaliza Kumzaba hilo Kofi basi na Mimi muda mfupi tu baadae jina langu lingebadilika rasmi na kuwa linaanzia Kuitwa Marehemu kwa Kupigwa Makonde ya Nguvu.

Kero ya huyu Abiria nimekuwa nikikutana nayo mara kwa mara ambapo unamkuta Mtu anaona Basi limewasha Redio tena kwa Sauti Kubwa tu na Yeye nae anatoa Simu yake anaweza Idhaa yake ya Redio ili asikilize jambo ambalo huwa linaleta Kero mno. Sasa kibaya zaidi ni pale huyo Abiria akishafanya hivyo na Wewe ukimuangalia kwa Jicho lako Kali na la Kuchukia ili labda ajishtukie basi lenyewe ndiyo Kwanza litaongeza Sauti huku likiwa sasa linasikiliza Sikioni mwake ambapo pia ni Jirani nawe. Inakera!

Abiria wenye hizi Tabia Kero ndani ya Dala Dala badilikeni tafadhalini.
 
Kuna mshikaji alipanda na demu wake..demu akajifanya amemlalia jamaa mapajani..kumbe ananyonya dushe...aisee..aibuu ilioje
 
shule zimwfunguliwa toka mwisho wa mwezi ama wewe upo DEI?
 
Back
Top Bottom