Kama Kuna tunzo ya msemaji Bora wa timu basi kura yangu ingeangkia kwa Thobias kifaru.

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Timu za kariakoo hazina wasemaji watimu Bali zina waropokaji tu na kutaka sifa (kiki) katika jamii.

NALIA NGWENA nimejikuta namkumbuka msemaji wangu Bora kabisa mwamba kutoka Mtibwa sugar Thobias kifaru.

Anajua kucheza na maneno na anaheshima huwezi kuta kawaita mashabiki Maiti au kukejeri mtu kwa kumuita andazi, hakika Kama zipo hizo tunzo za msemaji wa timu basi Kama ningekuwa mmoja Kati ya watu wanaopendekeza kwa moyo mkunjufu kabisa kura yangu ingedondokea kwa Thobias kifaru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…