Kama kuna vyama vya upinzani viliuliwa Basi CHADEMA wamejiua wenyewe

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Wananchi wanahaha kufikiria maendeleo mpaka wanaona waunde vya vya upinzani. Baadhi yao vyama vikishaundwa wanavitumia vibaya na kuviua kwa mikono yao.

Chama cha Demokrasia na maendeleo ni moja ya vyama vilivyojiua vyenyewe kizembe kabisa. Na kama kulikuwa na mtu alitaka akiue Chama hiki basi asitumie nguvu tena katika kazi hiyo.
 
Mwenyekiti anatoa matamko bila mazingatio halafu anajificha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…