gongotamu Member Joined Nov 11, 2010 Posts 20 Reaction score 1 Nov 18, 2010 #1 habari wana jf. naombeni msaada wa kitaalamu kuhusu usafi wa mwili. huwa najiuliza sana. kama kuoga ni usafi, taulo huchafuliwa na nini? watalaam wa afya watupe majibu ya kitalaam
habari wana jf. naombeni msaada wa kitaalamu kuhusu usafi wa mwili. huwa najiuliza sana. kama kuoga ni usafi, taulo huchafuliwa na nini? watalaam wa afya watupe majibu ya kitalaam
X-PASTER JF-Expert Member Joined Feb 12, 2007 Posts 11,605 Reaction score 1,843 Nov 18, 2010 #2 Hapo ni mambo mawili aidha ujakoga vizuri, au wakati mwingine kile unacho kiona kuwa ni uchafu kwenye taulo lako ni dead skin.
Hapo ni mambo mawili aidha ujakoga vizuri, au wakati mwingine kile unacho kiona kuwa ni uchafu kwenye taulo lako ni dead skin.
Utingo JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 10,266 Reaction score 8,085 Nov 18, 2010 #3 X-PASTER said: Hapo ni mambo mawili aidha ujakoga vizuri, au wakati mwingine kile unacho kiona kuwa ni uchafu kwenye taulo lako ni dead skin. Click to expand... mkuu ina maana wewe hufui taulo lako? kama unafua uchafu unatoka wapi ilhali umeoga ili uwe safi? I think ni kwa sababu tu tumeumbwa kutoka kwa udongo (aacording to the Bible) and our bodies emmits uchafu 24hrs a day.
X-PASTER said: Hapo ni mambo mawili aidha ujakoga vizuri, au wakati mwingine kile unacho kiona kuwa ni uchafu kwenye taulo lako ni dead skin. Click to expand... mkuu ina maana wewe hufui taulo lako? kama unafua uchafu unatoka wapi ilhali umeoga ili uwe safi? I think ni kwa sababu tu tumeumbwa kutoka kwa udongo (aacording to the Bible) and our bodies emmits uchafu 24hrs a day.
X-PASTER JF-Expert Member Joined Feb 12, 2007 Posts 11,605 Reaction score 1,843 Nov 18, 2010 #4 Utingo said: mkuu ina maana wewe hufui taulo lako? kama unafua uchafu unatoka wapi ilhali umeoga ili uwe safi? I think ni kwa sababu tu tumeumbwa kutoka kwa udongo (aacording to the Bible) and our bodies emmits uchafu 24hrs a day. Click to expand... Soma vizuri nilicho andika!
Utingo said: mkuu ina maana wewe hufui taulo lako? kama unafua uchafu unatoka wapi ilhali umeoga ili uwe safi? I think ni kwa sababu tu tumeumbwa kutoka kwa udongo (aacording to the Bible) and our bodies emmits uchafu 24hrs a day. Click to expand... Soma vizuri nilicho andika!