Mabibi na mabwana moja kwa moja kwenye mada.
Tunapoelekea Oct. 2020 wajumbe kama walivyowanyoosha watia nia wale itakuwa zamu yetu kuwanyoosha wetu.
Siyo siri huyu hapa atakuwa nazo kura zetu nyingi:
1. Mwenye kutuletea tume huru ya uchaguzi.
2. Mwenye kutuletea uhuru kamili wa mihimili. Yaani mahakama, bunge na serikali vyote na uhuru kamili.
3. Mwenye kutuletea uhuru kamili wa Vyombo vya Habari.
4. Mwenye kutuletea kuondoshwa kwa sheria zote zinazokiuka haki za binadamu na zenye kupoka uhuru wa raia.
5. Mwenye kutuhakikishia mageuzi kwenye vyombo vya ulinzi na usalama kuwajibika kamili kwa wananchi.
Mzizi mzima wa fitina ikiwa huu:
"Mwenye kutuletea katiba mpya."
Lissu, Mzee baba, Kachero mbobezi, Lipumba, na wengine wote mjao, habari ndiyo hiyo.
Wajumbe kama wa kigamboni, sasa ndiyo sisi.
Sera zenu kwa upande mmoja na sisi kwa upande mwingine.
Hapendwi mtu hapa!